The long wait

The struggleAnd longingFor a piece of mindDeprived The tortureAnd troubleOf someone enslavedSomebody in jailA jail without wardensA torture well deserved…

Hecko mwalimu wetu, baraka twakumiminia

Shangwe na vigelegele, Furaha mpwitompwitoWangeni wetu karibuni, Mstarehe bila wasiwasiTwasherehekeha mwalimu wetu, kweli amutupa ushindi,Hecko mwalimu wetu, Baraka twakumiminia. Shukrani…